TALGWU imeanzishwa ujenzi wa jengo pacha la kitegauchumi. ujenzi huo unaendelea katika Manispaa ya Temeke kiytalu “T” Block 62 & 65.
mpaka sasa ujenzi wa jengo hilo pacha la hoteli upo katika hatua za ukamilishaji na linatarajiwa kumalizika hivi karibuni