Dira na Dhima
DIRA
Kuwa Chama cha Wafanyakazi chenye ufanisi mkubwa na kinachojitegemea nchini Tanzania.
DHIMA
Kuunganisha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa kwa ajili ya kupigania uwepo wa huduma bora, uboreshwaji wa huduma za kiuchumi na kijamii, uwepo wa maendeleo endelevu ya kitaaluma na kitaalam, na kuimarisha nguvu ya pamoja ya majadiliano, ili kufikia kuwa jamii yenye usawa kupitia Uongozi bora.